Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa
Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo
zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa
pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa
pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila
kuchwapo.
Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.
Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.

Post a Comment